Msaada wa software ya Folder lock

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Wakuu,

Naomba mnisaidie software ya folder lock maana folders zangu kwenye computer zinachezewa sana na vijana, nimejaribu kudownload kwenye internet lakini kila niliyopata ni demo, nitashukuru kama nitapata ambayo ni full, OS ya computer yangu ni window 7 Ultimate, 32 bits.

Natanguliza shukrani
 
google truectrypt
ila uwe makini kufuata maelekezo ili usipoteze data zako. Ningekushauri utengeneze akaunti yako ambayo ni admin level kisha watengenezee guest account wengine wote. Change permission za folder lako au drive nzima kwa kuondoa access ya guest account zote. Pia uwe makini kwa hili usijejiondolea permission hata wewe ikawa hadithi nyingine :)
 
Wakuu,

Naomba mnisaidie software ya folder lock maana folders zangu kwenye computer zinachezewa sana na vijana, nimejaribu kudownload kwenye internet lakini kila niliyopata ni demo, nitashukuru kama nitapata ambayo ni full, OS ya computer yangu ni window 7 Ultimate, 32 bits.

Natanguliza shukrani

ninayo hiyo software. ni pm ili nijue jinsi ya kukupata
 
Back
Top Bottom