Msaada wa sheria ya ajali na mwanasheria

Pamoja na yote nina swali huu mguu bandia Wa milioni 20 nikama ule Wa Pristorous Wa afrika kusini au ule Wa electronics ambao bado upo unabuniwa kiwandani !?? Maana miguu bandia iliopo kuna wambao na waplastic bei kuanzia laki 2 mpaka milioni na nusu na pia inategemea mguu umekatikia wapi chini ya goti au juu yake.Ingawa bado napinga malipo hayo nikidogo.ilitakiwa iwe ataa zaidi ya milioni 50 .haswa unipowazia je aliyekatika mguu angekua mcheza mpira Wa kulipwa au mwanariadha iwe ndio kazi au biashara yake.utaona malipo hayatoshi kabisa .ushauri wangu aendelee kudai kwa msingi nilioitaja .nasio bei ya mguu bandia .kwani miguu bandia ataa omba omba unakuta wameivaa.nawasiwasi kama mleta Uzi nimkweli
 
Kimsingi madai ya mtu wa nje ya mkataba (third party) kwenye mambo ya bima huwa hayana kikomo kuhusu thamani, unadai kiwango chochote utakacho lakini uwe na sababu za kwa nini unadai kiwango hicho na uthibitisho (labda profoma invoince inayoonesha bei za huo mguu wa bandia nk)..
 
Back
Top Bottom