Heshima mbele wadau, naomba msaada wa kupata ramani za nyumba za kisasa zenye vymba vitatu au website ninayoweza kupata ramani za nyumba pamoja na picha zake. natanguliza shukrani
Kuna member humu anaitwa Architect E. M.,
Jaribu kumtafuta humu.
Kuna kitu alinitolea maeneo ya Kibada,
Kimetulia si mchezo!!!
thanxx sana ndugu yangu shark,,,, waambie watanzania watumie proffesionals, kuliko kudownload tu ramani kwenye net,,,, mtu unajenga nyumba ya a life time investment, lakini kutoa vipesa kidogo sana kwa ajili ya kuchorewa ramani, anaona ubahili sana,,, wake up tanzanians, wapeni professionals kazi ya kuwachorea, achaneni na ramani za kwenye internet zisizo na details na ambazo hazifit kwenye context