Msaada wa Ramani ya Nyumba

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Kabla ya kupata ramani ya nyumba ningeomba kupata msaada wa kuangalia picha za nyumba mbalimbali ili niweze kuona mjengo wa nyumba ambao unavutia zaidi ndipo nimpelekee Archtecture kwa ajili ya uchoraji wa Ramani. Kama naweza kupata msaada wa web ambayo ina picha za mijengo mbalimbali ntashukuru sana wana JF
 
Mkuu toa requirement zako usanifiwe jengo lako mwenyewe achana na habari za kudurufu mawazo ya watu!...km uko serious unaweza kuni pm nikuoneshe wazawa tuna uwezo as well! I am Architect by Profession
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom