msaada wa nokia yangu.

Dec 14, 2011
51
5
habari zenu ndugu!naomba ushauri wa simu yangu nokia 6234.nilikuwa na download applications kwenye internet sasa nika download dictionary baada ya kudownload ikakataa kufunguka ikabidi niifute.nilipo ifuta tuu ndo kizaa kikaanza cmu ikaingia virus ilikua juz kadiri siku zinavyo enda mambo yangu kwenye simu yanazidi kupotea yani application zangu zote zimefutika namba zangu za simu nilizihamisha kutoka phone kuweka kwenye simcard lakini bado zinapotea naombeni msaada wenu niifanyaje hii simu ili hawa virus waondoke???
 
Back
Top Bottom