Msaada wa Nokia N95 unaitajika!

Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
22
wakuu naomba mnisaidie kila nikitaka ku download file kwenye cm yangu inagoma inaandika file corrupted nifanyeji?
 
Nimejaribu bado mambo ni yale yale kiongo zi unaleta ujumbe huo huo
 
piga *#7370# weka password maliza kaz hapo, kumbuka ku backup your data
 
uasiende kichwakichwa hakikiaha ume hamisha contacts, messages nk kwenye memory card usije kuanza kuvitafuta tena

mkuu inaomba code niwekaka 1234 imegoma nitumie code gani?
 
Nashukuru wakuu nimefanikisha saiz kila kitu kinakubali ku format saiz ipo fresh kila kitu kinakubali
 
Back
Top Bottom