msaada wa network ya blackberry bold 9000

Abloodi

Senior Member
Oct 27, 2011
165
12
Poleni na majukumu wanaJF wenzangu, mimi natumia vodafone BB bold tatizo ni kwamba network yake haijatulia hata kidogo mara iwe 3G,EDGE,OFF or SOS. Hata nibalishe line ,yaani kwa kwel hata sienjoy internet kwa jinsi inavyokatakata network..... Nisaidieni kwa hili natumia laini ya voda
 
upo wapi?.maana usije kuwa unaendaa sehemu ya ambayo network ipo weak.
 
Back
Top Bottom