Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

kuna mwl wangu mmoja alitoa msemo niliupenda sn, alisema "MWANADAM AMEPEWA NGUVU NA UWEZO WA KUAMUA KUFANYA ANAVYOTAKA LAKINI NI LAZIMA ATAWAJIBIKA KWA KILE ALICHOKIFANYA"ndo yaliyomkuta huyu ndugu yetu
 
Kuna jamaa niliona tangazo lao wanafuta na kuchora tattoo karibu na ofisi yangu jumatatu nitakutumia namba zao uwacheki
 
Maeneo ya mkwepu kuna karound about nimeona bango la wataalamu wa kuchora na kufuta tattoo.fika maeneo hayo ulizia
 
kuna mwl wangu mmoja alitoa msemo niliupenda sn, alisema "MWANADAM AMEPEWA NGUVU NA UWEZO WA KUAMUA KUFANYA ANAVYOTAKA LAKINI NI LAZIMA ATAWAJIBIKA KWA KILE ALICHOKIFANYA"ndo yaliyomkuta huyu ndugu yetu

Well said!!!!!!!!!!!!
 
Ninavojua hapa Tanzania huo utaalam wa kufuta tattoo bado ila Nairobi inawezekana ninae ndugu yangu ni mchoraji wa tattoo anawashauri watu wanaotaka kufuta kwenda Nairobi ngoja nitamuuliza kma unaufahamu juu ya hao wafutsji huko Nairobi
 
Okay,sawa ntashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom