Msaada wa namba ya OBAMA

KISIRIRI

Member
Jul 13, 2011
12
11
Ndugu zang jf naomba munisaidie namba au Email ya Rais Barack Obama ,nimechoka mno na nchii hii bora niwe house Boy wake.
Maisha bongo co yenyewe kabisa
msaada wenu jamani
 
Panda basi la Akamba umfuate bibi yake Kisumu umuombe akupe namba ya mjukuu wake. Hata ukipenda unaweza kufanya uhouse boy kwa hiyo bibi na malipo yakawa yanatoka kwa Obama
 
Hahahah wenzenu hadi houseboy analeta c.v and anafanya interview... Utaweza kupita..!?
 
Tafuta namba ya rais wako kwanza umlalamikie shida zako
 
Wewe unataka namba ya Obama au unataka kazi ya House boy? Kama kazi ni-PM takupa kazi hapa hapa Bongo
 
Back
Top Bottom