Msaada: Napata muwasho sehemu ya siri

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu,

Nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'.

Kama nipo sahihi nini tiba yake?
 
nenda pharmacy, dawa zipo nyingi, safisha choo unayotumia, fua boxer yako kila siku, usitembee na wanawake wachafu.
Aksante mkuu nimekuelewa. Kwa hiyo hata panado inatibu?
 
Wakuu, nahisi muwasho hasa kwenye korodani na nadhani ni 'fangasi'. Kama nipo sahihi nini tiba yake?
Suala la fungus ndugu yangu ni tata.

Nenda hospita kufanya test wajue ni aina gani ya fungus na dawa gani inatibu.

Vinginevyo utatumia dawa nyingi bila kupata nafuu.

Nilifanya uchunguzi aina nne za dawa zikaonekana hazitatibu nikapata dawa (sina jna) katika sindano 12 yaani 1x2x6 ndipo nikapona.

Wahi ukafanye test.
 
Katafute Daktacort Cream ila maduka mengi hauzwi, kama uko Dar, nenda manzese Darajani ukishuka tu pale ukitoe ubungo, angalia upande wako kuna Duka pale kwenye ghorofa zipo.

Shekilango kuna Duka la Alafa mkabala na ile hoteli, na maduka mengi ya Sinza wanauza. Ila jaribu pia kuulizia maeneo unaishi hasa maduka makubwa, hii ukipaka tu muwasho utakoma kabla hujapaka siku ya pili, hii itatuliza tatizo haraka sana wakati unajiandaa kumuona Daktari, bei 12,000 mpaka 13,000.
 
Katafute Daktacort Cream ila maduka mengi hauzwi, kama uko Dar, nenda manzese Darajani ukishuka tu pale ukitoe ubungo, angalia upande wako kuna Duka pale kwenye ghorofa zipo. Shekilanga kuna Duka la Alafa mkabala na ile hoteli, na maduka mengi ya Sinza wanauza. Ila jaribu pia kuulizia maeneo unaishi hasa maduka makubwa, hii ukipaka tu muwasho utakoma kabla hujapaka siku ya pili, hii itatuliza tatizo haraka sana wakati unajiandaa kumuona Daktari, bei 12,000 mpaka 13,000.
Poa mkuu.
 
Paracetamol haitibu fangas iyo ni antipain kwa ajili ya kupunguza maumivu dawa za fangas zipo za aina nying ila vzur ukazingatia usafi wa nguo zako za ndan kama ulivoambiwa hapo juu pia ukioga hakikisha unajifuta maji vzur kuepusha unyevu unyev
Ila pole utapona mkuu ukishaanza matibabu
 
nenda pharmacy, dawa zipo nyingi, safisha choo unayotumia, fua boxer yako kila siku, usitembee na wanawake wachafu.
xema usirudie kuvaa boxer mara mbili;yaan uvae mara moja den change,ukisema fua boxer kila ck hy imekuwa chupi;mf mm cfui boxer kila ck navaa zaid ya mwez ndo nafua kuz nina boxer zaid ya50;!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom