Msaada wa meno!!

Ipi dot com

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
301
113
Salaam wana jf,mtoto wa miaka 8 meno yameotea kwa ndani wakati ya mbele yahatikisiki wala kuonyesha dalili ya kung'oka.nisaidieni uzoefu wenu
 
Hapo huna jinsi, mpeleke hospital akang'olewe hayo ya zamani, vingnevyo hayo yaliyoota yatakuwa na shepu mbaya, yanaweza kupinda na kuharibu muonekano wa mtoto. Kamng'oe haraka.

sasa hakuna thanks, hakuna like hakuna chochote sijui nikuambiaje ila hembu ona ninavyokupigia makofi ya kibunge

pa pa pa pa pa
 
duuuu! Thanks Susy, makofi yame2lia. Hivi na 'like' imekuwaje tena? Siioni jaman.

Back
Top Bottom