Msaada wa memory card!!

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
681
87
Nina memory card ya 4gb,naitumia kwenye nokia n70,nikifungua inasema corrupted,nikifomart inasema protected kama kuna mtu anaweza nipa mawazo mengine,thanx
 
inaposema protected inaweza kuwa ina lock button \jaribu kutoa uichunguze kama kuna button amboyo unaweza weka on or off na uweke opposite side/ au ipo password protected. Ningekushauri utumia pc kuformat inaweza kukupa jibu sahihi zaidi
 
Nime2mia pc ikafomart nikaweka kwenye 4ne inagoma tena,nasikitika ina mambo muhimu sana,
 
sawa but hata lile neno corrupted bado lipo inasoma lkn haifunguki
 
kama ni ushauri unanipa sio mambo ya kuanza kupondana,we unaweza sema imekufa,lkn mwingne akasema hyo inawezekana kufanyiwa recover kwa file system zilizo corrupt,
 
kama ni ushauri unanipa sio mambo ya kuanza kupondana,we unaweza sema imekufa,lkn mwingne akasema hyo inawezekana kufanyiwa recover kwa file system zilizo corrupt,

wachukulie poa waliokuponda...jaribu kuformat kwa ku2mia dos comand labda itasaidia manake mi ilitokea ya gb 1 tatizo kama lako nilifomati kikawaida lkn haikusaidia ila nilivyo format kwa ku2mia dos comand ilikubali.
 
sina maujanja sana na computer,niambie hyo dos command inapatikana wapi?
 
sina maujanja sana na computer,niambie hyo dos command inapatikana wapi?

click start menu>>then run>>type cmd>>type cd..then Press enter>>type cd.. Then press enter>>type format ikifuatia na herufi ya drive ya hiyo removable disk e.g e andika format e: then press enter.hapo itaanza koformat iache mpaka ifike 100%.
 
mia mzazi

Mimi mwenyewe nilipata tatizo kama hlo,ninatumia nokia n72,nilishindwa kuformat kwenye simu yangu.Ila baadae nilitambua kuwa simu yangu ilikuwa na virus,nikaiflash alaf ikakubali kuformat na hadi sasa naitumia hyo memory card.Mi mwenyewe niliiformat kwenye pc lakn kurudisha kwenye simu,inaniambia "mem.card corrupted" nikaflash kwanza simu.
 
je inatakiwa ujue pia hiyo simu yako inachukua mmc mpaka ukubwa gani maana inaweza ikawa mwisho ni 2GB halafu unailazimisha kuiweka hiyo yenye uwezo mkubwa..
 
Back
Top Bottom