Wikiliki JF-Expert Member Dec 20, 2010 528 139 Apr 21, 2011 #1 Ndugu wana jf ninatafuta mbao madirisha na nimepata za mti wa mloliondo na kanfa. Je ni zipi bora. Ninaomba msaada jamani. Asanteni.
Ndugu wana jf ninatafuta mbao madirisha na nimepata za mti wa mloliondo na kanfa. Je ni zipi bora. Ninaomba msaada jamani. Asanteni.