msaada wa mawazo

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
33,968
60,854
kuna demu mmoja ambaye tumefahamiana kwa muda sasa na tangu mwanzoni alikuwa anajua kuwa mie namtamani....nikamueleza na yeye aksema kuwa asante kwa ukweli wako lakini sipo tayari kuwa frend with benefits.
sasa umepita mwaka na zaidi anaanza kuniambia vipi bado wanitamani tuu...nikamwambia mie nakutamani bado ila mie sitaki seeious relation....chakushangaza kasema well we can talk abt it. je wanajf nile mzigo ama huyu dada anampango wakunibana huko mbeleni ili niwe nae na sio kuwa frends with benefits tuu??
 
Sidhani kama tunaweza ku-predict future yako. Huenda nae anataka kukutumia tu, angalia wewe usije ukaishia kumganda. Umeangalia movie 'being played'? Usithubutu kukutwa!
 
Ebu tafuta mwenye muelekeo na msimamo,huyo utakula kukolea kwake mara unakuja kumkuta na mwenzio ngumi zinaanza,
achana nae unao uwezo wakumpata mwengine yeye asikufanye wewe jamvi la wageni.....
 
kuna demu mmoja ambaye tumefahamiana kwa muda sasa na tangu mwanzoni alikuwa anajua kuwa mie namtamani....nikamueleza na yeye aksema kuwa asante kwa ukweli wako lakini sipo tayari kuwa frend with benefits.
sasa umepita mwaka na zaidi anaanza kuniambia vipi bado wanitamani tuu...nikamwambia mie nakutamani bado ila mie sitaki seeious relation....chakushangaza kasema well we can talk abt it. je wanajf nile mzigo ama huyu dada anampango wakunibana huko mbeleni ili niwe nae na sio kuwa frends with benefits tuu??
Eti wewe ndiye ulianzisha neno mgegedo ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom