Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Naomba msaada wa mawazo yenu jamani.nilimaliza form six mwaka jana,nikapata division 2.10 katika combination ya Hge,nilichaguliwa chuo cha uhasibu katika fani ya economics with finance,lakini kutokana na kunyimwa mkopo na bodi sikujiunga na chuo,nimeparangana hatimae nimepata msamaria mwema ambae ameniahidi kunigharamikia kwa kila kitu,kwa hiyo naomba mnishauri,nisome kozi gani ambayo iko sokoni sasa hvi(zingatia nataka kuaply chuo kingne na kozi tofauti na niliyochaguliwa mwanzo)