kupigakazi
Member
- Sep 17, 2014
- 53
- 10
Nina kiasi cha tsh. M. 8 nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza duka la nguo za akina dada na wamama kama vile magaun, skirt na blause, mikoba(handbag) pochi za mikoni , nguo za watoto pia ME na KE.Na bidhaa nyingine ndogondogo zitakazo stahili. nawaomba wenye uzoefu na hii biashara wanishauri kuhsu hako ka mtaji katafaa kwa kuanzia? na je kwa waliopo maeneo ya mwanza hasa mjin ni maeneo gani ya tafaa? karibuni kwa mawazo