Msaada wa mawazo kwa matokeo haya

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
3,069
6,075
Nahitaj ushauri kidogo kama matokeo haya niliyopata naweza kwenda shule za serikali
HIS=C CIV=C GEO=C ENG=C KISW=C BIOS=C B/MATHS= F

Hebu niwekee kaneno maana hope ina majipu
 
Nadhani kwa matokeo yako kwenda au kutokwenda shule ya serikali inategemea pia ushindani utakavyokuwa. Kama waliofaulu zaidi yako ni wengi zaidi, ni wazi kuwa kutakuwa na ugumu. Kinyume chake ni uwezekano mkubwa.
 
hiyo "F" ya number kwa HGE utasoma vizur tu advance ila course yoyote inayohusiana na biashara hapo utadunda may be za arts kiufup f hiyo itakuletea madhara baadae and not now piga hgl wala usiumize kichwa kwan hata hao wanao apply course za biashara kupitia hkl, au hgl kigezo kikuu lazima uwe na pass ya number o'level
 
Msaada wa matoke haya ya mwaka jana naweza kusomea course gani?
chem-B
Bios--B
Eng---B
Maths-C
Geo---C
Kisw---C
Hist---D
Civics-D
naomb ushauri kwa mwenye nayo make serikali haikunichagua na mpaka sasa cna mwekeleo
 
Mimi niliomba ushauri kwa sababu tu cjuchaguliwa na cjui niende wp hivyo kwa mwenye wa nini kitanifaa kwa matokeo hayo anijulishe kwani nashindwa nifanye nini kwa ambaye hajaelewa hayo matokeo ni ya mwaka Jana wakuu na ckuchaguliwa popote
 
Back
Top Bottom