msaada wa mawazo biashara ndogondogo

joel amani

Senior Member
Nov 22, 2011
100
8
hi jf,mimi ni kijana ninayetamani sana kupata katika maisha ili tatizo langu ni mtaji mdogo nilionao kwani mpaka sasa nina laki 7 tu na cjui niuzungushe vipi angalau uongezeke kidogo,nilichofikiri mpaka sasa nimefikiri nijumue nguo hasa hizi jezi la chelsea na man u ili nikauze minadani huko sumbawanga vijijini,kwa wale waliowahi au wanaoishi sumbawanga kibiashara naomba msaada wenu wa mawazo tu,au nifanye nini kingine?mimi niko mbozi vijijini huku minada ni midogo
 
huku kaka kuna mahindi,maharage,alizeti pia na zao la biashara kahawa ingawa vyote hivyo msimu wake umeshapita mpaka next year
 
vp umefanya research ya biashara ya MPESA kama inatoka??inapatikana kwanza..?huo mtaji unatosha sana kuanza kufanyia biashara iyo.........kama utahitaji line na vitukama ivyo niPM........sihitaji kuchukua ela yako...unatumiwa laini unafanya biashara mwishio wa mwezi unanilipa asilimia 25 ya faida utakayopata..ni ushapu wako..unaweza ukapata faida laki 3 au 4 au hata 5 na zaidi kutegemea na transactions..karibu
 
niaje kaka?mambo vp?nimependa hilo wazo ulilompa jamaa hapo juu la mambo y M-PESA,me nahitaji kufungua unanisaidiaje ila ninaombi moja mbona 25% mboan uko juu kaka fanya 15% tufanye kazi, niombi lakini.ahsante mi niko tanga
 
aksante kwa ushauri,but naomba contact zako ili tuwasiliane kibiashara zaidi,nipo serious mkubwa
 
unaweza kunicheki kupitia hii 0762395110/0657117377.tuongee vizuri juu ya kitu unachoweza kufanya kwa faida zaidi lakini kwa kipato kisicho na kikomo na kufurahia maisha mpaka kifo ndugu cha msingi tu uwe mvumilivu.
 
Back
Top Bottom