Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Duh, wakuu nashukuru sana kwa hii mada, ........................ mi nami nina tatizo,.................. almost a week kuna msg hapa kwenye Setting >General.... ukiifungua inasema software update (iOS 6-563MB)............. nikiingia kwenye "Download and Install" inanipeleka kwenye page ya "Terms and Conditions" then nina "Agree" .................... hapo inatokea msg "Downloading".................. tatizo ni kuwa inadownload na ikifika somewhere inaniambia failed to install................ nashindwa kujua tatizo hasa ni nini
Inawezekana file la OS likawa kubwa kulinganisha na speed ya internet yako. Ukiona kama inaendelea kufanya hivyo ningekushauri ufanye hiyo upgrade kwa kutumia iTunes ukiwa umeunganisha iDevice yako na computer yenye iTunes.
TAHADHARI: Kama ulikuwa ume-jailbreak iDevice yako, new upgrade inaweza kuondoa jailbreaking yako na kupoteza uhondo wa Cydia. Sina hakika kama kuna jailbreak software ya OS6 yet.