Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Habari Mkuu, sijasoma tu mahali na kutafsiri, mimi nimesomea mapishi huko Italy na nimeshafanya kazi jikoni katika hotel kadhaa Dsm, Znz na Mafia, kwahiyo ninachokuandikia nakijuwa kwa maandishi na kwa vitendo.Kha..umesoma mahali ukatafsiri ama wajua kweli??! U av amazed me kwakweli kwa upembuzi wako yakinifu..yan mtu haulizi swali.
We King'asti unaniletea pozi eti nitangoja milele wala ctaki unachek mshkaji anavojua pishi ilo?? Dah...
Babu Asprin fanya hima uwalete wake zako cacico, BADILI TABIA, Yummy, et al 'TUISHIENI'.
Mai waifu Catherine uko wapi uje huku...
Binti yetu mpendwa Eversmilin Gal njoo na ww utapoolewa usijeachika...
NB: kwann sisi tumezoea kuvunja spaghetti??!