Msaada wa maoni: Naweza kupata mke kupitia JF?

ndiyo.unaweza ukapata lakini unatakiwa uwe mvumilivu kwasababu wanawake wengi wa jf wanajifanya matawi halafu ni staki nataka.usihofu wengi ni masingo na wametendwa sana karibia wote.so usiwaonyeshe makucha.we jifanye mlokole utapata tu.mi nilikuwa naye humuhumu ila kwa sasa kanitema.alinishitukia sijatulia.ila nshachoma.mia
umenifurahisha,kwa hiyo unawapa ujanja wajifanye walokole.angalau umejishtukizia kuwa hujatulia.
 
kupata utapata.nina amini wasichana wanakuwa serious kwenye mahusiano,ila nyie wakaka mnapenda kudonoa donoa
 
Kama uliye pangiwa kuishi naye maishani yupo humu mtakutana tu.
Yawezekana mkapeana namba kwa ajili ya mawasiliano na
siku mnakutana ikatokea mna fahamiana.

Just pray first,....put as you pray don't dictate God.
(like God,i want to meet my rib out of JF single ladies.)

instead pray,.."God if it's your will,let me find my rib out of JF single ladies"
 
Du miye nilitafuta weeeee mpaka nikaaaacha so labda bahati yako maana nilipoweka wasifu wa kikulima ikawa tabu................ hawa ni watu wa magamba style............................
 
Nenda feisibuku utawapata wengi tu. Nakuombea kila la kheri.
 
jaribu mkuu................ila nakushauri kua makakamavu wa kusema na akina dada amabao upo nao nao maeneo mabalimabli
 
JF kila kukicha hivi nyie mnatokea mbingu gani mpaka mdondokee JF inamaana avatar ndo tatizo??Huu niugonjwa wa akili haiwezekani unashindwa kupata mke huko unakoishi nawaty unakuja kutafuta husiye mjua!Nakataa nimatatizo ya Problems!!!
 
Back
Top Bottom