Msaada wa mahali wanapo toa kozi/wanafundisha kutengeneza bite za kuuza kwa arusha

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu kuna mdada anapenda kufanya biashara ya Bite anakuwa anapika na kupark fresh then anauza sehemu mbalimbali, so anataka kujua kwa ARUSHA ni sehemu gani wanatoa hizo kozi au wanafundisha kutengeneza hivyo vitu,
 
Nenda HELP TO SELF HELP CENTER, ipo sakina silient inn, kama unatokea mjini ukipita tu car wash ya captain unaingia kushoto fata hiyo barabara mbele ulizia( hiyo ni barabara ya gari ), short cut ya mguu ukishuka tu silent inn kuna kichochoro kinaingia kushoto, ni kama 5min unafika, ukimuuliza mtu yoyote pale atakuelekeza. Wanafundisha bites zote; crips,tambi,maandazi,doughnuts,cake, biscuits, far far, supu, mikate, half cake, pizza na makorokoro kibao ushindwe mwenyewe. miezi minne kwa laki moja tu.
 
naungana na wewe mia mia,tulishampeleka beki3 hapo alipomaliza alikuwa anakimbiza mbayaaa.huhitaji tena kununua snacks nje,utakua umeokoa gharama kubwa sana,na pana uhusiano flani na DANIDA,wana facilities nzuri,hata mazingira yanavutia kweli,nilishafika hapo kama mwaka hivi umepita
 
Back
Top Bottom