Msaada wa mafao ya kustaafu

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
msaada tafadhali wa wapi pa kuanzia,muhusika ni babu yangu alikuwa halmashauri ya wilaya ya iramba,anasema anazo document zote ingawa amezisahau singida kwani yeye tukonaye hapa dar kutokana na kuumwa.kama inawezekana tuziagizie ziletwe kisha afanye process zote hapa dar ndo maana naulizia process zote zinazohitajika na wapi pa kuanzia.msaada tafadhali tumsaidie huyu BABU AHSANTENI
 
Kama ni Halmauri ya Wilaya uliza Local Government authoritys pension fund (LAPF) au PSPF. Just google haya mashirika pata number then wapigie simu. LAPF makao makuu yao yako DODOMa lakini wana ofisi DAR, PSFP wapo Sukari House DAR.
 
inawezekana huyu babu yako alishapewa akazila kamaliza - muulize vizuri huwa kuna option mbili
1. Unalipwa zote kwa pamoja na mnamalizana
2. Unalipwa kidogo kidogo hadi unakufa

sasa kama alichukua option 1 mwambie ndiyo baba jeni bye bye. mi wangu alichagua option 2, mpaka sasa analamba 300,000 kwa miezi 6 yaani 50,000 kwa mwezi.
 
Kama shirika lina jina PENSION maana yake huwezi kulipwa mafao yote kwa pamoja. Ila kama lina neno (Provident) basi unalipwa kwa mkupuo kila kitu unaondoka zako. Kwa Tanzania mifuko mingi ya jamii wameshabalika na kuwa PENSION meaning wanatumia PRINCIPLES za pension. Kwa hiyo unapata kiasi fulani e.g. 25% ya mafao yako mara tu unapostaafu and the remaining 75% utakuwa unalipwa monthly pension kila mwezi mpaka ufe.
 
Hatua ya kwanza ni kujua alikuwa anachangia mfuko gani kati ya iliyotajwa na wenzangu, kisha kujaza form kutoka kwenye mfuko husika inayopaswa kuwasilishwa ikiwa imesainiwa na mwajiri wake (for this case; DED-Iramba) pamoja na doc. Muhimu kama barua ya ajira, confirmation na kibali cha kustaafu.

Ukikamilisha masuala hayo unavuta mafao + pensheni ya kila mwezi.
 
Back
Top Bottom