Msaada wa Maelekezo tafadhali.

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Naomba kama kuna anayejua jinsi ya kutatua tatizo hili ambalo huwa linajitokeza mara kwa mara kwenye laptop yangu. Ni kwamba mara nyingi ninapoweka CD za video kwenye laptop yangu huwa inatokea picha inasimama hata kama hapo mwanzoni likuwa ina-play vizuri.
 
Ina ram kiasi gani?.Je unatumia ant Virus gani na mara ya mwisho umeiupdated lini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom