Msaada wa learning material

kohen

Member
Apr 18, 2011
27
11
Wadau nilikuwa na shida ya material ya LAND LAW na TORT , natanguliza shukrani
 
mwanafunzi wa sheria unapaswa kujituma kugoogle, acha kuwa ombaomba, wapo watu wasio na mapenzi mema watakumisdirect, halafu ukachemka. ingia google kisha andika "essentials of tort,"hicho nikitabu kizuri cha tort
 
mwenye link ya kuweza kupata kitabu cha Abdon rwegasira ....(land)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom