nimejaribu hawakunitumia mpangilio.
Tatizo sio wewe tu wapo wengi sana toka 31/12/2010 watuwengi wamepata usumbufu na internet ya airtel. binafsi nilipata usumbufu huo nikafikiri labda pengine ni ile siku ya deadline ya kusajili. nikatumia line ya wife ikakubali na haikuwa registered( hakuwa imesajiliwa) siku ya jtatu siku tulipoanza rasi kazi nikakutana na watu wengine wenye problems hizohizo wapo ambao wamesajiliwa na wanapata usumbufu huo na wapo ambao hawajasajiliwa na zinafanya kazi bila problem. kwahiyo tatizo sio kusajili tatizo lipo huko airtel. ukipiga simu kastama kea hao wanaopokea nafkiri hawana taarifa ya haya matatitzo. sometimes matatizo yanatokana na uzembe wa mainjinia so inakuwa ngumu wao kutoa taarifa kama kuna uzembe kwao.Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
Tatizo sio wewe tu wapo wengi sana toka 31/12/2010 watuwengi wamepata usumbufu na internet ya airtel. binafsi nilipata usumbufu huo nikafikiri labda pengine ni ile siku ya deadline ya kusajili. nikatumia line ya wife ikakubali na haikuwa registered( hakuwa imesajiliwa) siku ya jtatu siku tulipoanza rasi kazi nikakutana na watu wengine wenye problems hizohizo wapo ambao wamesajiliwa na wanapata usumbufu huo na wapo ambao hawajasajiliwa na zinafanya kazi bila problem. kwahiyo tatizo sio kusajili tatizo lipo huko airtel. ukipiga simu kastama kea hao wanaopokea nafkiri hawana taarifa ya haya matatitzo. sometimes matatizo yanatokana na uzembe wa mainjinia so inakuwa ngumu wao kutoa taarifa kama kuna uzembe kwao.
nikweli hizi laini zimekuwa na tatizo hili binafs mimi ninazo line tatu ila moja tu ndo inayo kubari huduma hii.kuhusu kastama kea hawa bwana nao huwa wengi hawajui na ukiwakomalia sana wakusaidie wanakuambia mtafute BDC aliye karibu nawe.
Una simu gani? Tafuta mtu mwenye Airtel internet kwenye simu yake, ingia settings za internet copy data za humo ndani.
Ingia kwenye settings za internet simu yako dumbukiza settings, kwisha kazi.
Unayo software ya NOKIA ya kukuwezesha ku-connect kwenye intanet...??Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
Kwa mtazamo wangu naona kama hii ya kang imekaa vizuri, maana inaonyesha ni kama tatizo liko airtel kukutumia hizo confrg setting ktk line yao ili usave.
So jaribu kuziingiza manual kama alivyoshauri kang