maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,277
- 5,511
Wakuu hebu naomba mnisaidie hili..
ninatumia internet ya TTCL ile ya unlimited,nalipa kwa mwezi hapa ofisini kuna computer tatu na yangu mara nyingi ndo inatumika wengine wengi wanakua wanapiga field work.
Juzi kaja jamaa mmoja akawa anafanya kazi yake hapa..ila cha kushangaza alipojaribu kuconect internet through wireless ilikubali fasta
kwa hiyo jamaa akanishauri niweke password inawezekana watu wengi wa jengo hili wanaitumia internet yangu,
sasa kimbembe ni kuwa sifahamu namna ya kuweka network password iwe secure,natumia modem ya ZTE (ZXV 10 W300 Series) msaada wakuu