MSAADA WA KUUNLOCK SIMU KUTUMIA LINE ZOTE

JayJay11

Senior Member
Dec 9, 2015
136
139
Habari zenu wakuu...
Jana nimenunua simu kwenye tigo shop
Simu aina ya Tecno N2
Ila inatumia tigo tu kwa sim1 ambayo ndo yenye mtandao mkubwa
Hivyo naomba mwenye ujuzi na ufahamu wa kuifungua ili iweze kutumia line za mitandao mingine anisaidie tafadhali
Natanguliza shukrani...
 
Imei yake ni
Sim Slot 1:- 359338070388369. (Tigo)
Sim Slot 2:- 359338070388377

Model:- TECNO-N2
 
Habari zenu wakuu...
Jana nimenunua simu kwenye tigo shop
Simu aina ya Tecno N2
Ila inatumia tigo tu kwa sim1 ambayo ndo yenye mtandao mkubwa
Hivyo naomba mwenye ujuzi na ufahamu wa kuifungua ili iweze kutumia line za mitandao mingine anisaidie tafadhali
Natanguliza shukrani...
Install kingroot kwenye PC then keep on USB debug on on your phone then connect your phone to PC via USB Then start to root after then your phone will read all simcards
 
Asante sana
Ntajaribu iyo
 
Back
Top Bottom