Dawa ya ugonjwa wa viungo maumivu na uvimbe
Dawa ya ugonjwa wa maumivu, mauvimbu na uvimbe (Arthritis) Wataalam wanapendekeza kutumia vijiko viwili vya maji vuguvugu na kuchanganya na kijiko kimoja cha Asali mbichi ya nyuki, na kijiko kimoja cha unga wa mdalasini, koroga sawa sawa kisha chua sehemu zilizoathirika, asubuhi na jioni Insahaallah nafuu kubwa itapatikana kwa muda wa dakika mbili fanya hivo muda wa wiki moja Mponeshaji ni Mwenyeezi Mungu.
Pia Mwenye ugonjwa huuwa Arthritis kila siku asubuhi na usiku atie maji ya Uvuguvugu achanganye na vijiko 2 vya kulia wali Asali safi mbichi na kijiko kimoja cha unga wa mdalasini anywe kila siku.
Tumia Dawa hii kabla ya hujala kitu asubuhi kojowa mkojo wako kipimo cha Glasi moja unywe kila siku kwa Muda wa siku Saba itakusaidiakutibu hayo maradhi yako ya arthritis
By using urine therapy, you will get relief from many ailments. The ailments relieved due to urine therapy are multiple sclerosis, colitis, lupus, rheumatoid
arthritis, cancer, hepatitis, hyperactivity, pancreatic insufficiency, psoriasis, eczema, diabetes; herpes, mono nucleosis, adrenal failure, and so many allergies are treated using urine therapy. Angalia hapa Faida ya mkojo wako Mwenyewe bonyeza hapa Urine Therapy A Cure For Many Ailments!
nENDA lUGALO KUNA DAKTARI ANUJUA VILIVYO SIRNaomba msaada kwa yeyote anayejua kuhusu namna ya kutibu ugonjwa wa Arthritis ktk miguu hasa magotini inasababishwa na mambo gani na dawa yake ni nini hasa. Ahsanteni sana kwa mawazo yenu.
arthritis ni tofauti sana na gout. gout husababishwa na wingi wa uric aCID mwilini, husababishwao na failure ktk metabolism ya purine,like arthritis yaweza kuwa infection, crystals au unene au ajari na kusababisha matatizo katika magoti, yaani uvimbe. na matibabu yake ni tofauti kutoaka na sababu ya ugonjwa wenyewe.Mkuu huu ugonjwa unatofauti sana na GOUT?