Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management application,e-learning etc.) ili nianze kuifanyia kazi, nahitaji nifahamu features za hiyo application ambazo nadhani ndio muhimu zaidi kuifanya iwe best.