Msaada wa kutatua tatizo la modem ya zantel...

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Kila nikijaribu ku-connect inakataa na kuleta ujumbe huu; "access was denied because the user name and/or password was invalid on the domain" na baadaye "the ppp link control protocol was terminated" Ni ZTE Model:AC2746.
 
Unatumia package(bundle ya aina/size) gani?
Nina maana yangu kukuuliza hivi...
 
Sawa,ndo sababu unapata hiyo error,ili uweze ku'connect kama ume subscribe bundle ya kiasi hicho Modem yako inabidi iwe na salio lisilopungua kitu kama 600/= hv baada ya ile 15,000 kukatwa,in other words kama wamesha'deduct ile 15,000 yao nunua tena voucher ya book iweke kwenye modem kisha u'disconect na connect tena itafunguka na utaendelea na michakato yako,try then give me feedback.
 
Kwani umeseti dial up conenection yako iwe ina authenticate kwa password na user name? Check setup zako za network katika modem darshboard unaweza kukuta kuna mtu alijaaza info kwenye sehemu ya username na password wakati dial up connection zetu hapa mjini huna haja na username na Pass.
 
Sawa,ndo sababu unapata hiyo error,ili uweze ku'connect kama ume subscribe bundle ya kiasi hicho Modem yako inabidi iwe na salio lisilopungua kitu kama 600/= hv baada ya ile 15,000 kukatwa,in other words kama wamesha'deduct ile 15,000 yao nunua tena voucher ya book iweke kwenye modem kisha u'disconect na connect tena itafunguka na utaendelea na michakato yako,try then give me feedback.

Ninashukuru sana mkuu kwa elimu uliyonipa.Nimefuata ushauri wako hatimaye tatizo limekwisha. Ninatumaini somo hili litawasaidia pia wanajamvi wengine watakaokumbwa/waliokumbwa na tatizo kama hili.Ahsante.
 
Zantel internet huku kibamba haikamati kabisa nimewaconsult sipati jibu nimeamua kuiacha kabisa
 
Zantel internet huku kibamba haikamati kabisa nimewaconsult sipati jibu nimeamua kuiacha kabisa

Kibamba inaweza ikakupa shida Jamaa coverage yao siyo ki'vile,maeneo ya mjini Zantel ndo inabamba sana
 
Mie ninayo modem ya zantel natafuta mtu wa kumgawia. Sihitaji usumbufu wakati kuna modem bomba kama airtel na voda
 
Back
Top Bottom