MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

Hulbjd

Member
Jan 30, 2012
36
2
Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa kutumia simu yangu ya mkononi.
 
Ni kama Hii
Nokia_6700_slide_silver_front.jpg
Au kama hii
gsmarena_002.jpg
 
halafu nokia zote symbian zinakua na built in internet radio labda iwe version ya zaman tu ya nokia ndo itakua haina lakini uki update firmware still itakuja.

Nenda ovi.mobi kama alivosema kang kasearch neno radio zitakuja nyingi

Nokia nyingi hazisuport kustream radio hadi kuwe na msaada wa application fulani sasa hao times fm kama wanayo app ya symbian ndo utaweza kuwasikiliza

Na redio kama times fm kwa sababu ni redio ya nyumbani hapa hapa tz kwanini usisikilize kawaida na redio na ear phone zako kuliko kutumia internet
 
Kwa kifupi inategemea na upatikanaji wa software ya kucheza internet radio na hiyo internet radio unayotaka kusikiliza inatumia format gani. Nenda Nokia Store: Download games, themes, wallpaper, ringtones and mobile apps on your Nokia phone juu kushoto seti device yako kisha search radio kuona software zote za radio uone kama kuna software itakufaa. Pia jaribu GetJar | Mobile | fanya hivyo hivyo.

ahsante sana mkuu!natumia nokia 5130 nimeshapata radio kadhaa za nje
 
ahsante sana mkuu!natumia nokia 5130 nimeshapata radio kadhaa za nje

vipi kuhusu kusikilizia kwenye computer? mbona mimi inanigomea,niki click listen inaconnect for streams then inagoma, nifanyeje wadau?
 
^^Nenda App ya Play Store (Market) kwenye simu yako tafuta radio utapata app zote za radio zinazosupport simu yako. Pia hiyo simu ina FM radio ya kawaida, inafanya kazi ukichomeka headset.
 
^^Nenda App ya Play Store (Market) kwenye simu yako tafuta radio utapata app zote za radio zinazosupport simu yako. Pia hiyo simu ina FM radio ya kawaida, inafanya kazi ukichomeka headset.

asante mkuu kwa kunipa ujuzi pasipo na malipo m/mungu atakulipa

uptodate

nashukuru mkuu kwa mara ya kwanza nimeweza kuzipata redio station nyingi na sasa nasikiliza
mungu awe nawe
 
Wakuu na mimi naomba msaada aisee,Samsung Galax note inashindwa kukamata internet nikiweka line ya Tigo,lakini Voda na Airtel inapiga kazi kama kawa.Nifanyaje kuondokana na tatizo hilo?
 
Wakuu na mimi naomba msaada aisee,Samsung Galax note inashindwa kukamata internet nikiweka line ya Tigo,lakini Voda na Airtel inapiga kazi kama kawa.Nifanyaje kuondokana na tatizo hilo?

Tatizo la tIGO ni dogo sana ukitoa line yao tu inakuwa disconfigured! Nenda tIGO shop au kama uko Dar nenda Mlimani city watarekebisha ila watakwambia usibadilishe line.
Hata mie tatizo hilo lilinipata likaisha baada ya kupitia kwenye duka lao kwa ushauri.
 
Shukrani sana mkuu wangu!!
 
Dah kwakweli Mungu awabarikini sana wakuu.... Yaani hambagui mtu kwakweli .'na endeleeni na moyo huwo huwo
 
Back
Top Bottom