Msaada wa kupata kitu hiki hapa Tz

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Wakuu,
Nimetafuta hii cable madukani bila mafanikio. Naombeni msaada wa kupata cable hii.
tnl_u2midi.jpg

au hii hapa
3178N150ZDL._SL500_AA250_.jpg
 
Nenda Digital Planet mtaa wa Jamhuri na pia mtaa huo kuna maduka lukuki.
 
Wakuu,
Nimetafuta hii cable madukani bila mafanikio. Naombeni msaada wa kupata cable hii.
tnl_u2midi.jpg

au hii hapa
3178N150ZDL._SL500_AA250_.jpg

waya kama hizo huku Ughaibuni ni za kumwaga ikiwa bongo hakuna itabidi nije kufunguwa Duka langu huko Ahhhhhhhata hizo waya hakuna bongo? bongo kumechacha ile mbaya tutafika kweli jamani?Au ndio Siasa ya ujamaa hiyo inakataza vitu visiingie hapo bongo Ahhhhhhhhhhhhhhhhh Tupo nyuma sana.
 
Isije ikawa mtafutaji wa hiyo cable ni huyo jamaa pekee. Duh hiyo kali kaka acha kabisa kufananisha Orange na Lemon. Bongo na ughaibuni wapi na wapi?
 
waya kama hizo huku Ughaibuni ni za kumwaga ikiwa bongo hakuna itabidi nije kufunguwa Duka langu huko Ahhhhhhhata hizo waya hakuna bongo? bongo kumechacha ile mbaya tutafika kweli jamani?Au ndio Siasa ya ujamaa hiyo inakataza vitu visiingie hapo bongo Ahhhhhhhhhhhhhhhhh Tupo nyuma sana.

Mkuu
Mtu anashusha bidhaa kulingana na mahitaji, hizo kebo wangapi wanaziitaji?...si bora ushushe kontena la MAUSI!..sio kuleta bidhaa tu kisa ughaibuni zipo
 
mimi hua nanunuaaga vifaa vya computer kutoka ebay online ni cheap and good quality kajaribu utakipata unachokihitaji
 
Mwenye uhakika na bei yake anijulishe maana nietafuta huku Mbeya nimekosa labda Bongo Dar
 
Back
Top Bottom