Msaada wa kupata Government Notice No.11 ya Machi 2011

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wakuu naomba msaada wa nakala ya gazeti la serikali kama nilitaja hapo juu japo tarehe nimesahau. Lanahusu kufutwa klwa baadhi ya vipengere vya standing order ya mwaka 2009
 
Ushauri:
Nenda kwa boss wako mwambie akupe, ni haki yako kuwa nayo. Kama boss hana nenda kwa RAS yeyote aliyekaribu nawe, mwambie akupatie vinginevyo nenda ofisi za Government printer utapata nakala yako kwa bei nafuu sana.

Best wishes.
 
what if yuko nje ya nchi?
 
Ushauri:
Nenda kwa boss wako mwambie akupe, ni haki yako kuwa nayo. Kama boss hana nenda kwa RAS yeyote aliyekaribu nawe, mwambie akupatie vinginevyo nenda ofisi za Government printer utapata nakala yako kwa bei nafuu sana.

Best wishes.
Thanks Mkuu, nadhani Option ya mwisho ni useful zaidi kuliko hizo za mwanzo kwa sababu nimeshagonga mwamba! Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom