Msaada wa kuokoa piha kwenye kamara

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,166
9,376
wATAALAMU NAOMBA MSAADA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUOKOA PICHA KWENYE DIGAL KAMERA AMBAZO ZIMETOWEKA BAADA YA KUWEKA MEMORY KAD AMBAYO HISI ILIUWA NA VIRUS......NI PICHA MUHIMU SANA KWANI ZIMEBEBA HISTORIA YA FAMILA YANGU!
 
samahani makamanda narekebisHA (EDIT} HEADING ...............MSAADA WAKUOKOA PICHA KWENYE KAMERA NIMEKOSA OPTIONAL YA EDIT!
 
1. Run cmd
2. Type cd\ halafu enter
3. Type herufi ya hiyo drive kadri inavyoonekana kwny computer, mf E: kisha enter
4. Type attrib *. -h -s /s /d kisha enter
Type exit kisha enter

Ukirudi angalia utakuta folder zako zimerudi! Jilinde na virus kwa kutumia antivirus ya ukweli na kila siku iwe updated!
 
Nimetembea Tanzania yote lkn lugha iliyoandikwa na mtoa mada sijawahi kukutana nayo sehemu yoyote ile.Alieelewa amsaidie ndugu yetu huyo
 
Back
Top Bottom