Msaada wa kufungua Files za .rar

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,826
22,935
Nime-download file ya.rar kwenye flash yangu ila nashindwa kui-run kwenye computer yangu naomba mnipe maujuzi wataalamu.
 
".rar" file type zinastore data kwa kutumia type flani ya compression.
Ili kufungua hizo files unatakiwa u install program za ku uncompress hizo ".rar" files.
Program hizo zipo nyingi, ila baadhi ambazo ni popular ni winrar na alzip.

wengi wanatatizwa na rar file just imagiNe baada ya kudownload rar file na kuona halifunguki wanadhani ni kirus flan hiv.
Kumbuka file zingine zinafungwa na password na wahusika wenyewe so hatujui mdau kakwama wapi!!!
 
Back
Top Bottom