Msaada wa kuformat usb drive

Mugizi1

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
478
142
Wakuu nina frash yangu ambayo imeanza kunizingua baada ya kumuazimisha mtu mmoja lakini sahivi kila nikiichomeka kwenye pc yangu inanipa hii message'' you need to format the disc in drive G: before you can use it'' lakini kila nikiformat inagoma.Naomba msaada nifanyeje?
 
nenda kwenye run then type this CHKDSK /F G:
Note: hiyo G ni drive letter kama imebadilika na wewe change
 
Mbona inaniambia window can not find CHKDSK/FG: naomba msaada zaidi tafadhali
 
Halafu saizi inaniambia ''the disk is write protected ''
 
Wakuu nina frash yangu ambayo imeanza kunizingua baada ya kumuazimisha mtu mmoja lakini sahivi kila nikiichomeka kwenye pc yangu inanipa hii message'' you need to format the disc in drive G: before you can use it'' lakini kila nikiformat inagoma.Naomba msaada nifanyeje?

Hapo kuna mawili aidha hiyo frash yako ina virus au ipo switched off Protection.
Fanya hivi ndugu
angalia katika flash yako kwenye kidude cha kuput on na off protection then pale kilipo peleka upande wa pile yaani kama kipo off weka on na kama kipo on weka off NB hakuna maandishi yanayoendicate "On or Off the baada ya hapo format itakubali
 
@ above hapo sawa hau ikishindikana hiyo (HP FORMAT TOOL) hapo cheki flash tester:Flash_Drive_Tester_v114 google it INATEST SECTOR za flash kama nzima,na kurecover vizuri laikini kama imekufa nunua flash nyingine maana no way ut maana inaweza kupona then ukaweka data zikawa zinaonekana vinusu au corrupted
**ushauri nunua flash zinazojulikana majina kama eg kingston,cruzer etc** maana mchina kazivamia sana hizi kitu
 
Nashukuru wakuu ngoja nikapakue nitest

Sipendi kukukatisha tamaa, ila hata mimi yangu imekufa hivyo hivyo. Niliomba msaada humu ndani, kiukweli wanaJF walijitahidi kunisaidia ila mwisho wa siku imekufa namna hiyo. Ok, fine. Jaribu pengine unaweza fanikiwa.

2themiza alinisaidia sana najua anapita hapa si muda mrefu atatoa ushauri wake.

Good luck.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom