Msaada wa kudownload movies/drama!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
WanaJF, naamini hapa ni kisima cha kutatua matatizo na kisima cha solutions pia. Mimi ni mpenzi wa tamthilia za kikorea na mojawapo ni Jumong na Kingdom of winds ambazo zinaelezea maisha ya zamani ya kifalme ya Korea. Kwa kweli hizi tamthili ni nzuri sana na zilikuwa zikirushwa na ITV mwezi uliopita. Nazipenda hizi tamthilia kiasi kwamba niko kama teja. Naomba mnisaidie ni kwa namna gani naweza kuzidownload bila malipo kwenye mtandao maana nahisi kuchanganyikiwa.
Nasubiri msaada jaman!!
 
Jaribu google, type Stagevu, chagua home page ya stagevu. kuna movies nyingi sana hata za zamani. ila unahitaji kujisajili (sign up). ni free
 
kama una download manager ya torrent yoyote unaweza kudownload Jumong hapa,Jumong torrent download - Fenopy.com click Download torrent, ila ni kubwa sana sijui kama utaweza kudownloada yote maana ina 29GB, labda ushushe baadhi ya episode zake.

kama hauna bittorent au vuze zi download kwanza kabla ya kudownload hizo episode hapo juu. www.vuze.com
au unaweza kudownload Direct Download hapa Download: Jumong .zip chagua Regular download.
 
kama unataka kudownload movie au video yoyote toka kwenye stream yoyote kwa ulaisi , fanya hivi na utaaminia.

1. download program inaitwa INTERNET DOWNLOAD MANAGER.... then
2. iweke ndo ndo cheif(default) manager
3. then fungua link yoyote ya movie..
4.Download manager automatic itakuletea option ya kudownload,

ni nzuri na inanguvu sana ... jaribu utaipenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom