Msaada wa Kubwa Wezangu

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Mambo vp?ebwana ninatatizo kidogo hapa nina simu yangu Nokia 6303 na mtandao ninaotumia ni Airtel nime dowenload Opera Min ila nikifungua inagoma nikifungua nakuta maneno haya Allow Network Access?This application is not from trusted supplier,ukifungua unakuta msg nyingine Unable to connect to the internet please check u setting,vp wakubwa mnaweza kuni help
 
swali je kabla hujadownload operamini internet browser ilikuwa inafanya kazi?
kama internet ya opera haifunguki jaribu kuset time
 
Mambo vp?ebwana ninatatizo kidogo hapa nina simu yangu Nokia 6303 na mtandao ninaotumia ni Airtel nime dowenload Opera Min ila nikifungua inagoma nikifungua nakuta maneno haya Allow Network Access?This application is not from trusted supplier,ukifungua unakuta msg nyingine Unable to connect to the internet please check u setting,vp wakubwa mnaweza kuni help

Ili uweze kutumia opera mini na appliction nyingine za simu unahitaji cuconfigure access point settings na settings hizo htuofautina kati ya mtandao mmoja na mwingine. ni PM ili nikuelekeze jinsi ya kuset hiyo kitu
 
Heading ni tata. Ondoa space kati ya "wa" na "kubwa" ili usomeke vizuri.
 
Je umedownload operamin ipi kuna 4.4 kuna 6 na kuendelea inabid ujue ipi inafaa kwa aina ya cm yako na nadhan ukienda kiutaratibu huwa operamin inakudirect level ipi ni size kwa cm yako vp ulizingatia kipengele hicho?
 
Umeulizwa vizuri je browser ya simu yako inafunguka na kuconnect kwenye net?
Hakikisha simu yako inasettings za internet ili browser ya simu ifanye kazi, ikikubali nenda m.operamini.com kwa kutumia browser ya simu yako kisha nenda dowload na simu yako itakuwa detected kwa kuletewa link ya kudownload kulingana na simu yako. Then dowload na install.
Baada ya kuistall ikigoma kukonect jaribu kuhakikisha tarehe na muda upo ok,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom