Msaada wa kuburn audio CD

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
367
278
Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuburn audio cd ambayo inaweza kuplay kwenye Audio cd deck yoyote. Kuna ambazo niliburn kipindi fulani hv huwa hazisumbui kuplay lakini juzi juzi hapa niliburn baadhi ya audio cd lakini nikiweka kwy deck zinagoma goma na wakati mwingine inadisplay error messege. Sasa sielewi kama ni spidi ya kuburn nayotumia au vp. NAOMBA WATAALAMU MNIPE SOLUTION.

rgds!
 
Back
Top Bottom