msaada wa kuagiza gari

Maroune

Member
Mar 20, 2011
34
7
wandugu nikinunua gari ya mwaka 2005 toka japan kwa dola 3000, ntaisafirisha kwa gharama gani na gharama za kuitoa je mpaka inifikie zitafika kiasi gani? naombeni msaada
 
kaka tafuta gari ambalo halina zaidi ya miaka kumi,,kwa hilo ushuru ni mkubwa sana
 
gharama za usafirishaji gari inategemea na size ya gari na aina ya usafiri,pamoja na wapi umenunulia hilo gari.mfano Kusafirisha kwa meli RO-RO gari dogo inaweza kuwa dola 850-1000,na gari saizi ya kati dola 1100-1200,na gari kama noah n.k dola 1350 na kuendelea.hizi ni gharama za kutokea .pia ni vema ukalipia na bima.mfano hai kusafirisha noah kutoka KOBE japan last week dola 1350,kusafirisha ipsum dola 1200.
 
mbele ya red hapo ongeza neno JAPAN,nilisahau kuliandika
 
Back
Top Bottom