Msaada wa ku-compress file kubwa kama la mb 400 kuwa 300 mb

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Naomba mwenye kujua program ya ku - compree file kwa kiwango cha juu sana anisaidie. Nataka kutuma file lakini siwezi kuli - upload kwani ni kubwa sana. Majuzi nimeshindwa hata kucompress file la mb47 to 30mb ili niweze kuli-upload. Ndugu zangu naombeni msaada.
Heshima mbele.
 
Kiasi ambacho unaweza ku compress file inategemea zaidi aina ya file na data zilizopo ndani yake, e.g kama ni text file itacompress vizuri sana lakini kama ni program file au video mara nyingi hautapata compression kubwa.

So hakuna program kama unayotafuta ambayo itakupa compression yoyote unayotaka wewe, jaribu zip inayokuja na windows au Winrar kwenye maximum settings.

Kama unataka kutuma mafile makubwa tumia service kama http://www.yousendit.com au Free large file hosting. Send big files the easy way!
 
tumia winrar ni zuri sana sababu iko na two options za compression .zip na .rar

tafadhali nijuze jinsi ya kutumia winrar kwani niNayo ila procedure za kuniwezesha kufikia malengo ndo kabisaaaa sijui.
 
downlod latest version of winrar ukisha install nenda kwa hiyo file yako rightclick na kwenye context menu utaona neno 'Add to Archive' select hapo na chagua RAR kisha ingia kwenye hiyo kiboma hapo chini uchague BEST compression
 
kijana tafta KBG yani hyo inaweza compress hilo file likawa hata robo yake ila sasa inategemea na processor na ram ya comp yako maana unaweza kukesha siku nzima
 
kijana tafta KBG yani hyo inaweza compress hilo file likawa hata robo yake ila sasa inategemea na processor na ram ya comp yako maana unaweza kukesha siku nzima

NDUGU YANGU elmagnifico HII KBG NDO NINI? AISEE NIMETOKA KAPA. NISAIDIE PLSE
 
kijana tafta KBG yani hyo inaweza compress hilo file likawa hata robo yake ila sasa inategemea na processor na ram ya comp yako maana unaweza kukesha siku nzima

Mi nilidownload gta 4 ilikua na 64kB then nikaextract nkapata gb 14 na ipo fresh sema nilitumia saa 12 kui extract kgb nzuri sana sema lazma atakayedownload naye atumie kgb maana winrar na 7zip haziwezi
 
chief-mkwawa ya kweli hayo? ngoja na mimi niitafte hii KGB
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa ya kweli hayo? ngoja na mimi niitafte hii KGB

Ni ya kweli mkuu KGB ni nux hata mimi mwanzo sukuamin lakini baada ya kuitumia na kupewa fifa 2011 ikiwa na kb 34 kuiextract ika ma gb ndo nikaamini kweli hii kitu noma lakini inachukua muda mrefu ku compress na ku extract. Sema ukiwa wa compress inakupa option 3 kuna ya kawaida, kuna medium na xtreme sa extrem ndiyo inakuja kb na mpaka imalize inaweza chukua hata cku 2 na pia inategemea na uwezo wa mashine yako ram, na processor ziko vipi
 
duuh! hii ni nouma kwel ntajaribu nijionee mwenyewe
 
au ukatumia winRAR ugawanishe file yako iwe compressed mara mbili au tatu, so utakuwa either na your (filepart 1- 200mb, na file your file part 2- 200mb) au (your file part 1- 150mb, your file part 2- 150mb & your file part 3- 100mb)
 
Kwanza, inategemea na mafile unayotaka ku-compress. Kwa mfano huwezi ku-compress mafile kama PDF, JPEG, AVI bila kupoteza quality ya picha au sauti.

Pili, sidhani kama unaweza ku-compress file lenye 30MB kwa kutumia WinRar, nk. The most you could compress would be 2MB at the most. Unaweza ku-compress kwa kutumia higher setting lakini uta-compress about 200KB tuu

Hata ukifanikiwa kuli-compress kwa 30MB kulituma bado kutategemeana na email address unayotumia. Kwa mfano Yahoo na Gmail wanakubali attachment ya 25MB maximum.

Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu kwa nini usitumie https://www.yousendit.com/?
 
kuna tye of compression moja niliona kwny game za GTA na Need for Speed yani from 200MB after decompression unakuta inafika mpaka 800MB sijui wanatumia software gani. Naiwinda kweli.
 
Back
Top Bottom