msaada wa kodi kwa tra tafadhali

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,031
760
ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani
katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa viwili ambapo kuna wenzetu
wawili walikatwa zaidi ya laki tano na mwingine kakatwa zaidi ya laki nne na nusu but walipolalamika huyo wa laki tano karudishiwa
laki nne na wa laki 4.5 karudishiwa laki mbili. hii inaonesha kwamba wangekaa kimya ingekula kwao. kuna wengine wameenda kulalamika lakini wanapigwa kalenda tu. tumejaribu kumuuliza huyo mTRA namna wanavyokokotoa katutolea nje. najua humu
ndani kuna wahasibu na watu mbalimbali na taaluma zao, naomba msaada wa namna hii kodi inavyopatikana tafadhali sana.
 
Back
Top Bottom