LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,958
- 5,561
mie ni graduate wa IT.sasa nimfind ajira naona zengwe japo sijakata tamaa kiivyo. but since nipo std 7 nimekuwa na biashara za hapa na pale(ndogo ndogo) nkichanganya shule na hzo biashara. je najishauri yafuatayo
1. Je niache fani yangu ya IT mana naona kama nimepoteza mda??
2. Nifanye biashara huku naomba kazi, japo hili nalo gumu unakuwa upo kati kati kwenye kumake short,medium and long term plans za kibiashara??
3. Uwoga/ au kulinganisha kile kitu wanacholipwa na faida nitakayoipata kwani naona kama ndogo vile,