msaada wa kiufundi

Bizzly

Member
May 3, 2010
79
21
wana jf wenzangu gari yangu suzuki escudo automatic imekuwa ikiflash/blink taa ya over drive kila ninapopunguza mwendo au kupandisha kilima. ikisha changanya mwendo taa inazimika. je tatizo hili linaweza kuwa ni nini na nitalitatua vipi? mafundi wawili wamesha shindwa.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom