Msaada wa kisheria

Jayfour_King

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
1,135
128
Heshima kwa wote wana JF.
Natumai wengi wenu hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu tukielekea uchaguzi mkuu.
Nina tatizo na ofisi moja ya serikali hivyo ningependa nipate mawasiliano (contacts) za asasi za kiraia zinazotoa misaada ya kisheria kwa wanaohitaji.

Nategemea ushirikiano katika hili, na nina tanguliza shukurani.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom