Msaada wa kisheria tafadhali

Kapuku83

Senior Member
Sep 8, 2012
146
35
Wadau naomba msaada wa kisheria juu ya mtu anapokutuhumu mbele ya jamihi kwa kashfa kama ya wizi,ubadhirifu na uzembe wakati hana ushahidi,tuhuma hizo zimetolewa kwa maneno!je nikitaka kuanza kumchukulia hatua za kisheria nianze wapi!
 
Anza kwa kumuandikia barua shuruti(Demand Notice), ukiainisha jinsi alivyokukashifu na jinsi ulivyoathirika na kuaibika mbele ya jamii na uoneshe hasara uliyopata kutokana na kashfa izo barua shuruti mwishoni ioneshe unataka akufanyie nini ili kurudisha hadhi yako kama awali na umpe muda maalumu wa kufanya hivyo kabra hujamfungulia kesi ya madai(defamation case) mahakama kuu.
 
Nashukuru sana mkuu,ngoja nimtangulizie hiyo barua ili nione reaction yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom