Msaada wa kisheria juu ya mirathi

Sep 22, 2011
33
2
Ndugu zangu ni matumaini yangu kwamba mmeamka salama,nimesimama katika jukwaa hii kuweza kupata msaada juu ya mirathi ya BABA YANGU, BABA YANGU ALIKUWA POLISI PALE DAR-ES-SALAAM NA MWAKA 2005 ALIHAMISHIWA SUMBAWANGA NA 05/12/2005 NDIPO ALIFARIKI DUNIA,MAMA YANGU ALIENDA KUNGUA HIYO MIRATHI NA KUKAMILISHA PROCESS ZOTE NA HATIMAE LILE FILE LILITUMWA KWENDA DAR AMBAKO MALIPO YANGEFANYWA LAKINI TANGU MWAKA 2005 HADI LEO HII HATUJAWAHI PATA HIYO MIRATHI,NA MWAKA 2011 MIMI NLIJARIBU KWENDA DAR ILI NIJUE TATZO NI NINI! BAADA YA KWENDA MAKAO MAKUU YA POLISI WAKASEMA FILE LIMEENDA SUKARI HOUSE KWAAJIL YA MALIPO.NIKAENDA SUKARI HOUSE NKAAMBIWA KILA KITU KIMEKAMILIKA JUST WEIT FOR CHECK.TANGU SIKU HIYO HATUJAPATA CHEKI WALA NINI! Naomba msaada wenu tafadhari!
 
Back
Top Bottom