Msaada wa kielimu pls!!

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Naomba kujua, kama mimi nilimaliza form 6 miaka kadhaa iliopita na div 2 sikutaka kusoma nikaanza mambo ya pesa na familia, sasa ndo nimeomba chuo kupitia tcu, jina halijatoka, nataka masomo ya jioni, nifanyeje? Ina maana siwezi kusoma tena tanzania?
 
inawezekana kaka mbona vyuo vpo vngi tu ni chaguo lako unataka chuo gani? unaweza kuomba BBA udbs pale udsm iko pouwa tu na uwezi kukosa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom