msaada wa IDM na windows 7 is not genuine

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
nimepitia threads zilizopita hum jamvini zinazohusu idm na windows 7 lakini wameshatoa link za kuactivate windows 7 na idm keys kila nikiziweka bado inaniambia muda wake umeisha, msaada wanaJF
 
jaribu hapa http://ismailsimba.blogspot.com/2012/08/windows-7-activation.html?m=1
 
Back
Top Bottom